Burudani

Video: Mama Ashura achomoa kumchana Alikiba

Baada ya siku kadhaa kusambaa video muigizaji na mchekeshaji, Mama Ashura akimzungumzika msanii Alikiba na kupelekea team ya msanii huyo wa Rockstar 4000 kumtolea povu. Hatimaye Mama huyo ametolea ufafanuzi kauli yake hiyo alioyitoa.

Akiongea na Bongo5, msanii yupo kutoka Timamu Entertment ameeleza kwanza hayupo upande wa msanii wowote yani Diamond Platnumz wala Alikiba bali yeye ni shabiki wa muziki mzuri pia watu waliitafsiri vibaya kauli .

“Watu wanashindwa kuelewa mimi na sapport muziki wowote mzuri, atakaye fanya vibaya kama nina chakumwambia nita mwambia , akifanya vizuri kama nina cha kumsifia nita msifia, kwa hiyo sina team,” amesema Mrembo huyo.

Akaongeza “Watu wanashindwa kuelewa ni nini nimezungumzia, nimezungumzia jambo moja usiwe na ile dhana ya ukongwe, ukajiona wewe ni mkongwe, harafu ukasahau kufanya kwenye kipaji chako ni sawa sawa na tasania ya filamu, ukijiona sana wewe ni mongwe ukipewa ushauri kutoka kwa watu wengine ukau kataaaa basi lazima uta drop.”

Na Laila Sued na Salum Kaorata

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents