Michezo
Video: Mashabiki wa soka Dar wavurugwa na kiwango cha Senegal
Mashabiki wa soka Dar es salaam wamekuwa na maoni tofauti juu ya michezo ya Kombe la Dunia inayoendelea huko nchini Russia. Jumapili hii wadau hao walipata fursa ya kuzungumzia mechi mbalimbalii zilizopigwa katika viwanja mbalimbali ikiwemo mechi ya Senegal vs Japan pamoja na England vs Panama.