Bizzare

Video: Nyuki waajabu wamsababishia mwanaume kupoteza sehemu za siri huko Mombasa

Huko Mombasa nchini Kenya limetokea tukio linalohusisha mambo ya kishirikina baada ya kundi la nyuki linaloitwa, Nyuki wa Ajabu kumshambulia mwanaume mmoja ambaye kilichomtokea hatokisahau katika maisha yake.

Tukio hilo lililovuta hisia za wakazi wengi wa mji huo, lilitokea baada ya jamaa huyo kujitolea kumsaidia mama mmoja muuza supu aliyevamiwa na kundi kubwa la nyuki kijiweni kwake. Akisimulia tukio hilo, mwanaume huyo aitwaye Eric Mnyesi amesema kwanza alishangaa iweje nyuki wafuate vitu vyenye chumvi wakati wanajulikana kwa kupenda zaidi sukari.

Aliwafukuza nyuki hao kwa kuwasha makaratasi lakini nyuki hao walimng’ata na kumsababishia si tu maumivu makali mwilini bali alijikuta akipoteza sehemu zake za siri.

Source KTN

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents