Burudani

Video: Steve Nyerere ajitupa sakata la Soudy Brown na Maua Sama ‘wasanii wanasubiri kutoa pole sio kuwasaidia’

Msanii wa filamu Steve Nyerere Alhamisi hii amefunguka kuiomba radhi serikali kwa kitendo kilichofanywa na Soudy Brown pamoja na muimbaji Maua Sama ambao wanashikiliwa na jeshi la polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam kwa kosa la kusambaza video ambayo wanaonekana watu wakichezea pesa. Muigizaji huyo amewataka wasanii kuungana kuiomba radhi serikali ili watu hao wapewe dhamana.

 

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents