Burudani
Video: Tazama jinsi Kanye West alivyokutana kwa mara ya kwanza na baba mkwe wake tangu ajigeuze kuwa mwanamke
Kanye West amepelekwa na mke wake Kim Kardashian kwa mara ya kwanza kwenda kuonana na baba mkwe wake tangu ajigeuze kuwa mwanamke.
Yote hayo yameonekana kwenye reality show I Am Cait ya Caitlyn Jenner.
“I think this is one of the strongest things that have happened in our existence as human beings, that are so controlled by perception,” anasema Kanye kwenye clip hiyo.
“You couldn’t have been up against more.”