Videos

Video: Trailer ya movie mpya ya Chris Brown “Battle of the Year”

Chris Brown mwenye miaka 24, ametoa trailer ya movie yake mpya inayoitwa ‘Battle of the year.

Katika movie hiyo Chris amecheza akiwa kama member wa team ya kudance inayofanya maandalizi kwaajili ya kushiriki katika mashindano ya dunia ya kubreak-dance. Kama wewe ni shabiki wa zile hot dance moves za breezy katika video za ngoma zake, bila shaka utaenjoy zaidi kuziona katika movie hii itakayokuwa na muonekano wa 3D.

Battle of the Year inategemea kuingia kwenye movie theaters September 18 mwaka huu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents