BurudaniVideos

Video: Trey Songz adata na ‘Pana’ ya Tekno

Wamarekani wanaendelea kudata na muziki wa Afrika. Baada ya Swizz Beatz, Alicia Keys, Ciara, Drake, Chris Brown na wengine, sasa ni zamu ya Trey Songz.

Mwenye bahati yake sasa ni Tekno. Trey ambaye alikuwa Kenya hivi karibuni, ameonekana kwenye video akiifurahia wimbo wa staa huyo akiwa kwenye gari na washkaji.

“#Pana number 1 song in the continent #period,” ameandika Tekno kwenye video hiyo aliyoiweka Instagram.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents