Bongo Movie

Video: Utawala huu umekuwa wa mateso na shida kwetu – Mama Wema

Mama mzazi wa msanii maarufu nchini, Wema Sepetu amefunguka kwa kudai kuwa utawala wa Rais John Pombe Magufuli ni utawala ulio na mateso makubwa kwenye mafilia yake pamoja na baadhi ya watu. Mama huyo ameyasema hayo Jumamosi hii akizungumza na waandishi wa habari katika uzinduzi wa filamu mpya ya mwanaye iitwayo, Heaven Sent uliofanyika Mlimani City Jijini Dar es salaam.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents