Habari

Video: ”Wameficha sukari, lengo kujitajirisha, wengine tumewakamata,”- Naibu Waziri Kilimo 

Naibu Waziri wa Kilimo Mhe, Omary Mgumba amesema kuwa sababu kubwa ya kutokea kwa upungufu wa bidhaa ya sukari nchini moja ni kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa, kuwepo kwa mvua nyingi zilizopelekea mashamba kujaa maji na viwanda kufungwa ili kupisha matengenezo.

Mhe. Mgumba amesema sababu ya tatu ni kutokana na baadhi ya wafanya biashara ambao sio waadilifu ambao wameficha sukari kwa lengo la kujitajirisha wenyewe ”Mhe. Spika ni kuhakikishie tumeshaanza kuchukua hatua na wengine tumeshawakamata, na tumeshawafikisha kwenye vyombo vya sheria,” amesema.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents