Bizzare

Video:Mtoto aliyekufa na akafufuka wakati anapelekwa kuzikwa

Waombolezaji nchini Ufilipino walipatwa na mshituko, pale mtoto wa miaka mitatu aliyekuwa amekufa na kuzinduka wakati wanampeleka mazikoni.
3-year-old-girl-awakened-at-her-own-funeral-zamboanga

Kwa mujibu wa mtandao wa Mirror mtoto huyo kutoka Aurora, Zamboanga del Sur, alitangazwa kufa siku ya Ijumaa, na maziko kupangwa Jumamosi mchana.

Lakini wakati wa shughuli ya msiba, ndugu na marafiki walishtushwa wakati mtoto huyo alipofufuka.
Watu walianza kurekodi tukio hilo baada ya padre aliyekuwa akifanya misa kugundua kuwa mtoto huyo amejisogeza, kabla ya kufungua macho.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents