Michezo
Simu ya Mudathir Imeibiwa – Dickson Job
“Nilimuuliza Mudathir sasa hivi sioni simu ikiita vipi ile namba haipatikani, akaniambia simu yangu imeibiwa, nikamwambia siku zote hizo mbona hautoi taarifa? Wananchi watambue umeibiwa, Kwa nguvu yao na umoja wao simu itapatikana siku sio nyingi,” Beki wa Yanga Sc, Dickson Job.
Imeandikwa na Mbanga B.