Promotion

VODACOM yaendelea kusogeza zaidi huduma za mawasiliano kwa wateja wake

001 SINZA
Meneja Uendeshaji wa maduka ya Vodacom Tanzania,Elihuruma Ngowi(katikati)akishirikiana na wasimamizi wa Duka jipya la Vodacom Sinza kumekucha Bw.Baraka Nyirenda wakwanza kushoto na Davis Mkonyi(kulia)wakikata utepe kuashiria kuanza rasmi kwa huduma kwenye duka hilo jipya lililopo eneo la Sinza Kumekucha Dar es salaam.Duka hilo litakuwa likitoa huduma kwa siku saba za wiki ikiwemo siku za sikukuu

002 SINZA
Baadhi ya wafanyakazi wa duka la Vodacom Tanzania wakigonganisha glasi za mvinyo ikiwa ni ishara ya kulitakia mafanikio duka hilo jipya lililopo Sinza kumekucha Jijini Dar es salaam mara baada ya kuzinduliwa rasmi

003 SINZA
Meneja Uendeshaji wa maduka ya Vodacom Tanzania,Elihuruma Ngowi(kulia)akimwelezea mteja wa kwanza Paul Mashauri ubora wa simu aina ya Huawei P-6 zinazopatikana katika duka la Vodacom lililopo Sinza kumekucha mara baada
ya kuzinduliwa rasmi.Duka hilo litakuwa likitoa huduma kwa siku saba za wiki ikiwemo siku za sikukuu

004 SINZA
Baadhi ya wafanyakazi wa duka jipya la Vodacom Tanzania lililopo sinza kumekucha jijini Dar e s Salaam wakiwa kwenye picha ya pamoja baada ya duka hilo kuzinduliwa rasmi

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents