Michezo

Watano kuwania tuzo ya mwanasoka bora BBC Afrika 2015

Wacheji watano ambao wanagombea tuzo ya BBC kwa mwanasoka bora wa mwaka 2015 wametangazwa kwenye hafla maalum iliyoandaliwa mjini Johannesburg, Afrika Kusini.

151113145647_afoty_2015_512x288_bbc

Mshindi wa tuzo hiyo mwaka 2014 Yacine Brahimi, yupo kwenye orodha hiyo pamoja na Pierre-Emerick Aubameyang, André Ayew, kutoka Ghana, Sadio Mané na Yaya wote wa Ivory Coast.

Mshindi ataamuliwa na mashabiki wa soka Afrika ambao watapewa fursa kupiga kura hadi tarehe 30, Novemba.

Unaweza kupiga kura mtandaoni kwa kubofya hapa au kwa kutuma ujumbe mfupi wa simu kwa nambari +44 7786 20 20 08:

Ujumbe 1 kwa-Emerick Aubameyang
Ujumbe 2 kwa André Ayew
Ujumbe 3 kwa Yacine Brahimi
Ujumbe 4 kwa Sadio Mané
Ujumbe 5 kwa Yaya Touré

Mshindi atatangazwa ijumaa tarehe 11 mwezi December wakati wa matangazo maalum kwenye BBC World News na BBC World Service, wakati mitandao ya BBC Sport na BBC Africa ikitoa pia matangazo. Kwa sheria na masharti bofya hapa.

Source:BBC

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents