Habari

Waziri Mkuu awasili Burundi

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Kassim Majaliwa amewasili nchini Burundi leo Julai 1,2021, na atakua humo kwa ziara ya siku moja.

Mh.Majaliwa amepokelewa na mwenyeji wake, Makamu wa Rais wa Burundi, Prosper Bazombanza, wakati alipowasili  kwenye uwanja wa ndege wa Bujumbura.

By- BAKARI WAZIRI

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents