Habari

Waziri Mwijage na ishu ya vifaranga vya kuku kuchomwa moto (Video)

Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Bw. Charles Mwijage amesema vifaranga vya kuku vinachomwa moto kutokana na watu wanaoingiza vifaranga na bidhaa nyingine kutoka Kenya kutofuata taratibu za kuingiza bidhaa hizo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents