Bongo Movie

Wolper afunguka kuhusu, Stylish Night na kutengwa na wazazi (Video)

Malkia wa filamu nchini, Jacqueline Wolper amesema usiku wa show ya Stylish Night utaofanyika High Spirit Lounge Posta Ijumaa hii, atatoa fursa kwa kuwachua vijana ambao watahudhuria show hiyo na kwenda kufanya nao kazi na kuwakuza kijasiriamali. Pia mrembo huyo amezungumzia namna alivyoingia mtaani na kuuza sabuni hali ambayo ilisababishwa atengwe na familia yake.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents