Habari

Yaliyojiri Manji alivyotua Mahakama Kuu leo, amkana Wakili wake (+Picha)

Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imetupilia mbali maombi ya kupewa dhamana kwa mfanyabiashara maarufu nchini, Yusuf Manji ambaye ana kabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi.

Manji na wenzake watatu wanakabiliwa na mashtaka saba yakiwemo ya uhujumu uchumi, kukutwa na mihuri miwili ya JWTZ, ukiwemo wa Mkuu wa Kikosi cha 21 JWTZ, wa Mkuu wa Kikosi Makutupora Dodoma (JWTZ) na wa Commanding Officer Korogwe, plate number mbili za magari ya serikali.

Wakati huo huo Mfanyabiashara huyo amemkana Wakili wake, Peter Kibatala na kuwatambulisha Mawakili wengine wapya.

Picha: Salum Kaorata

Na Emmy Mwaipopo

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents