Michezo

Zinedine Zidane afuata fedha falme za kiarabu

Aliekuwa kocha wa klabu ya Real Madrid, Zinedine Zidane ameingia mkataba wa miaka minne ya kuifundisha timu ya taifa ya Qatar.

Mapema hii leo habari zimeenea kuwa, Zinedine Zidane atakuwa akilipwa Euro milioni 15 kwa mwaka hii ikiwa na lengo la kuisaidia nchi hiyo inayotarajia kuanda michuano ya kombe la dunia mwaka 2022.

Zidane ameiongoza Real Madrid kwa misimu miwili na nusu, akifanikiwa kutwaa mataji tisa huku Jumamosi iliyopita akiipatia timu yake kombe la klabu bingwa barani ulaya.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents