Uncategorized

Bale afunguka kuhusu Ronaldo, Thierry Henry, akiri kuvutiwa na Arsenal ‘Cristiano ni mchezaji wa ajabu’

Nyota wa klabu ya Real Madrid, Gareth Bale ameshindwa kuzuia hisia zake na kuweka wazi kuwa alipokuwa mdogo alikuwa akifurahi sana wakati akiifuatilia timu ya Arsenal inapocheza.

Gareth Bale risked the wrath of Tottenham fans as he held a Thierry Henry Arsenal jersey

Mshambuliaji huyo wa Real Madrid alikuwa kizazi cha mwisho kuondoka
ndani ya klabu ya Tottenham na kuweka historia kubwa katika usajili wa timu hiyo.

The Welshman admitted he enjoyed watching Henry and Dennis Bergkamp while growing up

Mchezaji huyo mzaliwa wa Cardiff huko Wales amekiri kuwa shabiki mkubwa wa legendari wa Arsenal, Thierry Henry na Dennis Bergkamp ambao wamemsaidia kukuza kipaji chake kila alipokuwa akiwafatilia wakati akiwa mdogo.

Bergkamp (left) and Henry (right) were two players Bale enjoyed watching as a youngster
Wachezaji wa Arsenal, Thierry Henry na Dennis Bergkamp

”Nilikuwa nikiwafatilia Arsenal sana, na ukweli nilikuwa nanafurahi zaidi nikimuangalia Thierry Henry,” amesema Bale. 

”Nilikuwa nikipenda kumtazama pia Dennis Bergkamp, walikuwa na timu bora mashabiki wa Tottenham hawawezi kuwa kujiskia furaha kwa hili.”

Kijana huyo mwenye umri wa miaka 29, amewataja Henry, Bergkamp na Ryan Giggs huku Gigs kwa sasa akiwa ndiye kocha mkuu wa timu yake ya taifa ya Wales.

Playing with Cristiano Ronaldo for years at Real Madrid was something Bale said he enjoyed

Bale amesema kuwa kucheza na Cristiano Ronaldo kwa miaka kadhaa ndani ya Real Madrid ni moja kati ya vitu ambavyo anajivunia.

The former Tottenham attacker played down any suggestions that the pair did not get along

Moja kati ya vitu ambavyo vimekuwa vikizungumzwa ni juu ya mahusiano yake na Cristiano Ronaldo. 

Bale hailed the Portuguese as an 'incredible player' who he 'thoroughly enjoyed' playing with

Lakini Bale, aliamua kununua pamoja na jezi ya Ronaldo huku akisisitiza kuwa walikuwa na mahusiano mazuri ndani na nje ya uwanja. 

”Cristiano ni mchezaji wa ajabu, nilikuwa nikuwa nafurahia nikicheza naye,” amesema Bale.

”Ni dhahiri vyombo vya habari vinajaribu kututengenezea matatizo, jambo ambalo halikuwepo. Tulikuwa vizuri sana, yeye ni mchezaji wa ajabu na kile alichofanya ndani ya klabu Real akiwa na kiasi kikubwa cha mabao aliyofunga. Ni mchezaji wa ajabu na bado anaendeleza.”

His big break came at Southampton having successfully navigated the club's academy teams

”Ninakubaliana na kilakitu kutoka Tottenham walichonifanyia lakini nafikiri walikuwa wanafahamu kuwa kuna klabu kubwa itakuja kunihitaji kama ilivyo kwa Real Madrid.”

Akiwa hapo Hispania, Bale amefunga jumla ya mabao 102 akiwa ametoa ‘assists’ 63 kwenye mechi 224 alizocheza Real Madrid.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents