Uncategorized
Chid benzi atikisa Fiesta Dar, amataja Mourinho kwenye mistari mashabiki wabaki hoi (+video)
Mwanamuziki wa kizazikipya Chid benz ameonyesha uwezo mkubwa jukwaani kupitia tamasha la TigoFiesta hali iliyopelekea mashabiki zake ambao wameonyesha kummisi msanii huyo toka kuhusishwa na utumiaji wa madawa ya kulevya kufurahi.