Habari

Coast 2 coast yaja

Ukoo_fulani_na_Zolad_na_Benjamini_faceMwanamuziki Toka Mombasa Kenya katika kundi la Ukoo Fulani Richie Rich (American Rapper) na Sharama hivi karibuni wamekuja nchini kwaajili ya kuungana na Zola D pamoja na Benjamini wa mambo jambo katika kukamilisha wimbo wa Cost 2 Cost.


Pia katika safari yao hiyo  Sharama, amekuja kuitangaza albamu yake ya Vunja Winga, ambayo atakuja kuifanyia uzinduzi hapo baadaye.

Nyimbo ambazo zipo katika albamu hiyo, alizitaja ni Intro feat P.O.P, Cpollabo na Dj featvDj Bob, Niko Real feat Yvonne, Love feat , No More Violence feat Mzizi Mbaya, Ghetto Superster feat Lavoste, Ndani ya Game, Kenya, Drummer Boy,  feat Richie Rich na Yvonne,  Sodouatha feat Shake Shake, Inshallah feat Mzizi Mbaya, Naja feat Cannibal, Gangsta Love feat Steve, Bokondima feat Volcano, Sharabbas feat  Abbas Kubaff,  Number One feat Richie Rich na Atuu, Outro, na Maandamano ya Hip Hop feat Zola D, Shaolin, Mzizi Mbaya, Aveche, Six foot, Tipsy Timo, Musa na Richie Rich.

Ukoo_fulani_na_mo_ones

(Sharama akiwa amevaa kofia nyekundu (Kushoto) Mo One, Richie Rich ‘American Rapper na Zola D ‘Moto wa Fuso aka John Cena )
Amesema albamu yake  ameitengeneza katika studio Head Bangaz, ambazo inaandaa pia albamu za wasanii wengine kama Kimya na albamu yake ya  A Moment of Silence, Yvonne na albamu ya Iam Only Human, Mzizi Mbaya na albamu judgement

day

 ukoo_fulani_Richie



Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents