Congrats: Victoria Martin apata mtoto wa kiume
By
|
Aliyewahi kuwa Miss Tanga na balozi wa Redd’s mwaka 2007 Victoria Martin amejifungua mtoto wa kiume.
Bongo5 inampongeza Victoria na baba mtoto kwa ujio huo wa mtoto wao.
Source: Miss Popular blog