Habari

Davido kutumbuiza Kenya mwezi ujao

Staa wa Nigeria, Davido atatumbuiza jijini Nairobi, Kenya mwezi ujao.

Diamond na Davido wakicheza kwa madaha
Davido na Diamond walitumbuiza kwenye Fiesta jijini Dar es Salaam mwaka jana

Hii ni mara ya kwanza hitmaker huyo wa ‘Skelewu’ anaenda nchini Kenya.

Staa huyo aliyewahi kuja Tanzania mara mbili, atatumbuiza jijini Nairobi, March 28.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents