Habari

Dr. Julie Makani (TZ) atajwa kwenye orodha ya ‘Newsweek’ ya ‘Women In the World: 125 Women Of Impact’

Daktari, mhadhiri na mwanasayansi wa kike wa Kitanzania, Dr. Julie Makani ametajwa kwenye jarida la Newsweek na mtandao wa The Daily Beast kwenye orodha ya wanawake 125 duniani ambao kwa shughuli zao wameleta mabadiliko kwenye jamii zao, Women In the World: 125 Women Of Impact.

Dr Julie Makani akitoa machache

Dr. Makani anajulikana kwa kuwa bingwa wa ugonjwa wa Sickle Cell.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents