Habari

Facebook yaingia makubaliano na mashirika tisa ya habari kuweka habari za papo kwa papo kwenye ukurasa wako

Facebook imeungana na mashirika tisa ya habari duniani kuanzisha huduma ambayo itawaruhusu kusambaza habari zao moja kwa moja kwenye kurasa za watu za Facebook kupitia simu zao.

like_us_on_facebook

Kushare habari kwenye kurasa za Facebook ni kitu kinachofahamika lakini huduma hii itafanya kuwa kitu cha haraka zaidi.

Mashirika hayo ni pamoja na The New York Times, National Geographic, BuzzFeed, NBC, The Atlantic, The Guardian, BBC News, Spiegel na Bild.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents