Uncategorized

Hivi ndivyo mastaa wa soka barani Ulaya wanavyofurahia sikukuu ya Christmas na familia zao

Wakati dunia nzima ipo katika kipindi cha kusherehekea sikukuu za Christmas na mwaka mpya, hivi ndivyo baadhi ya nyota wamchezo wa soka walivyoungana na familia zao kufurahia sikukuu hii ya kuzaliwa kwa Yesu.

Cristiano Ronaldo's partner Georgina Rodriguez posed alongside her young family and a life size Santa Claus soft toy

Nyota wa Juventus, Cristiano Ronaldo akiwa na mpenzi wake Georgina Rodriguez sambamba na familia yao

Wachezaji wengi wabarni Ulaya wametupia picha katika mitandao yao ya kijamii ya Instagram na Twitter zinazoowaonyesha wakiwa na familia zao katika kipindi hiki cha skukuu.

Ronaldo himself then appeared in a particularly festive shot, wishing his Instagram followers a 'Feliz Natal'

Ronaldo akiwa ameposti picha hii kwenye mtandao wake wa Instagram akiwatakia shabiki zake sikukuu njema ‘Feliz Natal’

Harry Kane couldn't get football off his mind and topped his tree with a Golden Boot
The England captain will be spending the festive season with partner Katie Goodland and young family

Nyota wa Tottenham, Harry Kane akiwa ameposti picha ya mti akiwa na familia yake.

John Terry and his partner Toni are preparing to welcome in the festivities and posed for a Christmas snap together

John Terry akiwa sambamba na mpenzi wake Toni wakijiandaa kuwakaribisha marafiki zao sikukuu ya Christmas

Liverpool goalkeeper Alisson stuck to club colours and used a Disney theme for his tree
The Brazilian will be spending his first Christmas in England following his summer move

Mlindalango wa Liverpool, Alisson na mpenzi wake

Sergio Ramos' wife Pilar Rubio set about prepping the family tree along with one of her young sons
The glamorous pair also posed for a picture together to celebrate the festive season

Sergio Ramos akiwa na mke wake Pilar Rubio wakiwa na moja kati ya mtoto wao

Mauro Icardi and his partner Wanda Nara posed for a Christmas snap with their young daughters

Mauro Icardi na mpenzi wake, Wanda Nara wakiwa na watoto wao wakike karibu na mti wa Christmas

Harry Maguire took a snap of his tasteful Christmas tree, along with a guest appearance from a furry friend
Maguire's partner Fern Hawkins shared the image of the tree and pooch via Instagram

Harry Maguire akiwa karibu na mgeni wake wakifurahi karibu na mti wa Christmas

Manchester United defender Marcos Rojo and family are preparing for Christmas in the north west

Beki wa Manchester United, Marcos Rojo akiwa na familia yake kipindi hiki cha skukuu Christmas

Chelsea striker Alvaro Morata worked together with his wife Alice Campello to get his tree decked out
The Spaniard shared an intimate moment with Campello after they finished off arranging their tree

Straika wa Chelsea, Alvaro Morata akiwa na mke wake, Alice Campello-Morata

Everton's Jordan Pickford also found his Christmas Tree snap photo-bombed by the family dog
The England goalkeeper and partner Megan Davison recently announced their are expecting

Everton’s Jordan Pickford akiwa na familia yake

Bayern Munich striker Robert Lewnadowski plays in the Christmas snow with his daughter ahead of the big day

Straika wa Bayern Munich, Robert Lewnadowski akicheza ba mtoto wake wa kike wakati huu wa skukuu ya Christmas

Manchester City forward Raheem Sterling posted a picture with his family, captioned 'I will forever be grateful'

Mshambuliaji wa Manchester City, Raheem Sterling akiposti picha akiwa na familia yake

Leicester striker Jamie Vardy also posted a suitably festive family snap, with wife Rebekah and his three children

Straika wa Leicester, Jamie Vardy akiwa na mke wake Rebekah na watoto wao

Liverpool defender Dejan Lovren posed in a festive photo, featuring gold decorated tree, nativity scene and Xmas jumper

Beki wa Liverpool, Dejan Lovren

Like Alisson, Douglas Costa posted a Disney-themed Christmas picture in his Mickey Mouse jumper with a Santa hat

Like Alisson, Douglas Costa


Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents