Siasa

Mazishi ya Shekh Yahaya Hussein

1_Mazishi_Kikwete_Face
Mei 21 ndipo ulikuwa mwisho wa safari ya mnajimu wa Afrika mashariki na kati, Shekh Yahaya Hussein, kwa kumuhitimishia kamazi yake ya kudumu katika makabuli ya Tambaza yaliyopo Muhimbili.

 

Zifuatazo ni baadhi ya picha ambazo zinaonyesha watu mbalimbali waliohudhulia hapo……

1_Mazishi_Athon_Lusekero
1_Mazishi_hutuba_na_shekhShekh akitoa mawaidha wakati mazishi yakiendelea.

1_Mazishi_Kikwete_na_Hutuba
Hapa hutuba kali ikiendelea, na pembeni raisi wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho kikwete akifuatilia mawaidha kwa ukaribu sana.
1_Mazishi_Kikwete_na_mtoto
Raisi Kikwete akimriwadha mmoja wa watoto wa marehemu, aliyekuwa akilia.
1_Mazishi_kupokea_mwili
Taratibu jeneza lilishasogezwa karibu na kabuli kwaajli ya kustiriwa.
1_Mazishi_kupokea__mwili
Mashekh na maimanu wakiushusha mwili wa marehemu Yahaya Hussein katika makazi yake ya kudumu.
1_Mazishi_Mashekhe
Dua likiendelea

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents