Soka saa 24!

Mr Chuzi apata shavu Africa Magic

tuesaday_face
Mwingizaji na mwenyekiti wa Watengenezaji wa filamu Tanzania  Tuesday Kihangala’Mr Chuzi’ amesema ameridhishwa na uuzaji wa kazi zake kama ya Millosis, Jasmini na jumba la dhahabu, katika  kampuni ya Luninga inayotumia kuonyesha michezo mbalimbali duniania Africa Magic.

amesema hivi sasa anatarajia tamthiria yake ya Jumba la dhahabu kurudiwa kwa mara ya pili na stesheni hiyo kutokana na kuvutiwa kwa tamthiria hiyo.

Pia msanii huyo aligusia kidogo, kuhusiana na kumeguka kwa shirikisho la wasanii nchini,  na kutokea kwa jina jipya Bongo Moviel Club kwake yeye alichukulia tofauti sana.

Anasea msimamo wake atabaki kuwa mwanashirikisho kwakuwa anaamini ndilo lililosajiliwa na Serikali, lakini pia anakitambua uwepo wa chama cha wasanii wa Bongo Moviel, na muda wowote anapohitaji kufanya kazi nao, basi hasiti kumuomba mtu anayemtaka kwaajili ya kukamilisha kazi hiyo. Pia amemalizia kwa kusema ile kampeni ya lalamika kwa wasanii wa upande wa TAFF kuibiwa yeye hakubaliani nayo na kuungana na Bongo Moviel kwa madai wanaoiba ni wale wanaofuja kazi zao mtaani na so Step.

tuesday_wasanii

tuesday_wasanii_tupu

Wasanii wa kundi la filamu la Tuesday Kiangala

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW