Muziki
New Music: Chemical – Struggling
Rapper Chemical ameachia ngoma yake mpya inayoitwa ‘Struggling’. Wimbo huo umetayarishwa na prodyuza Dupy kutoka studio ya Uprise Music.