Videos
New Video: Witnesz Kibonge Mwepesi – Kwani Shingapi
Msanii wa muziki Bongo, Witnesz Kibonge Mwepesi ameachia video ya ngoma yake mpya ‘Kwani Shingapi’, wimbo huu umeandikwa na Ochu Sheggy. Itazame hapa.