Michezo

Picha: Fàbregas alivyofurahi kukutana tena na Messi na Suarez

Mchezo wa Chelsea na Barcelona uliochezwa jana usiku katika ligi kuu ya mabingwa barani Ulaya (Uefa), uliwakutanisha wachezaji ambao ni marafiki walipoteana kwa muda mrefu.

Ilikuwa ni bahati kwa Cesc Fàbregas wa Chelsea kukutana na wachezaji wenzake wa zamani ambao alicheza nao katika klabu ya Barca kwa misimu takribani mitatu akiwemo Lionel Messi na wengine.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents