Habari

Picha: Makamu wa Rais afunga mkutano wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT)

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu amefunga mkutano wa Mkuu wa 9 wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) na kuwasihi viongozi waliochaguliwa kuongoza jumuiya kwa maslahi ya Jumuiya hiyo na CCM kwa ujumla. Ambapo mkutano huo ulikuwa ukifanyika mjini Dodoma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents