Habari

Picha: Mary J Blige atumbuiza Nigeria katika tamasha la ‘Sisters with Soul‘ jana (Sept 27)

Malkia wa ‘Hip hop Soul’ Mary J Blige alikuwa barani Afrika jana kwa kazi moja tu ya kutumbuiza katika tamasha la muziki lililofanyika Nigeria usiku wa jana.

Mary J-Naija3

Mary J (42) ambaye aliwasili Nigeria jana (September 27) kwa private jet aliungana na wasanii wengine wa Nigeria na Afrika katika tamasha la ‘Sisters with Soul‘ lililofanyika Lagos.

Mary J Nigeria
Mary J akiwasili Lagos, Nigeria

Mary J-Naija1

Mary J-Naija2
Mary J akitumbuiza katika tamasha hilo

Mary J-Naija5

Victoria Kimani wa Kenya pia ni miongoni wa wasanii walioshare jukwaa moja na MJB kutoka Marekani katika tamasha hilo.

Victoria Kimani
Victoria Kimani katika concert ya Sisters with Soul

Mara baada ya tamasha hilo Blige aliiaga Naija na asubuhi ya leo ametweet kuwashukuru mashabiki wake wa nchi hiyo.


Picha: 36ng.com, Lailasblog

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents