Uncategorized

RC Makonda afunguka kuhusu ahadi yake ya Mil 10 kwa vijana wa Taifa Stars ‘Huko mambo yao yako vizuri'(+video)

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda amesema kuwa ahadi aliyoitoa kuhusu kuwapatia shilingi milioni 10 kwa wachezaji wa Taifa Stars ameitimiza huku akiongeza kuwa kwa baadhi ya wachezaji wote wakongwe na wengine akiwemo Shomari Kapombe watafanyiwa kazi kwakuwa wote wanathaminika.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents