Tragedy

Remy Ongala Aagwa

Remy Ongala Aagwa

Mamia ya watu walijitokeza jana kwa ajili ya kuaga na kutoa heshima za mwisho kwa Marehemu Remy Ongala katika viwanja vya Biafra.

Remy Ongala Aagwa

Mke wa Marehemu (katikati ya watoto) akiaga mwili wa marehemu Mume wake.

Remy Ongala Aagwa

Mtoto wa Marehemu, Kali Ongala akitoa heshima za mwisho.

Remy Ongala Aagwa

Watoto wengine wa Marehemu Remy Ongala.

Remy Ongala Aagwa

Mbunge wa Kinondoni Idd Azan kushoto pamoja na Waziri wa Habari vijana utamaduni na michezo NCHIMBI kulia pamoja na mchungaji wakiwa katika viwanja vya Biafra kuaga mwili wa marehemu Remy Ongala

Remy Ongala Aagwa

Ndugu jamaa na marafiki wakiwa na mwili wa Marehemu, Ramazani Ongala wakielekea makaburini Sinza Dar es Salaam

Remy Ongala Aagwa

Remy Ongala Aagwa

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents