Uncategorized

Simba watua Zanzibar kibabe, watumia michuano ya Mapinduzi Cup kuimaliza JS Saoura CAF Champions League

Mabingwa watetezi wa ligikuu soka Tanzania Bara klabu ya Simba wametua salama Visiwani Zanzibar yatarikwaajili ya kushiriki michuano yao ya Kombe la Mapinduzi.

Simba wamesema wakiwa huko Zanzibar watatumia nafasi ya michuano hiyo pia kujiandaa na michezo yake ya hatua ya makundi ya ligi ya Mabingwa Afrika ambapo Januari 12 watawakabili JS Saoura.

Kupitia taarifa yao waliyotoa kwa waandishi wa habari waliesema kuwa watapeleka kikosi kamili kwenye michuanohiyo kuonyesha kuheshimu tukio hilo la Mapinduzi matukufu ya Zanzibar

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents