Bongo Movie

Wasanii watakiwa kutambua fursa katika sekta yao

Akiwasilisha mada katika mkutano uliofanyika jana uliohusisha wasanii wa filamu Tanzania na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe, Mratibu wa shindano la European Youth Film Competition 2017, kutoka Andreson Media, Musa Sakari, amewataka wasanii kutambua fursa zilizopo katika sekta ya filamu.


Musa Sakari kutoka Andreson Media

Sakari akiambata na baadhi ya washiriki wa shindano hilo ameeleza kuna fursa nyingi katika maendeleo ya filamu ilikukuza sekta ya sanaa hivyo wanatakiwa kuitumia nafasi wanazopata kikamilifu.

“Katika sekta ya filamu nchini kuna fursa nyingi hivyo ni jukumu la kila msanii kuzitumia fnafasi anayopata katika sanaa ilipwepo na maendeleo amabao yatasaidia kuinua na kukuza vipaji,” alisema Sakari.

Pia aliwataka wasanii kutumia fursa za mashindano kama European Youth Film Competition, kuonyesha uwezo hasa kwa vijana katika sanaa ya Tanzania.

Na Laila Sued

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents