Picha: Mastaa walivyoadhimisha siku ya wanawake duniani
Mastaa mbalimbali wa Afrika jana waliadhimisha siku ya wanawake duniani kwa namna mbalimbali. Hawa ni baadhi ya waliotuma ujumbe mahsusi kwa wanawake wao muhimu maishani.
Mr Blue
Ujumbe: #happywomensday
Diamond
Ujumbe: Allow me to wish Happy Women’s Day to my precious
Gelly wa Rhymes
Ujumbe: Happy women’s Day to all women out there!! Love u so much Elizabeth promise to make u proud Mum! God bless u!
Alikiba
Ujumbe: Happy Women’s Day || Kheri ya Siku ya Wanawake Duniani kwa Mama yangu, dada yangu pamoja na Wanawake wengine wote Tanzania na duniani. Tunawathamini na kuwapenda sana. #WomensDay2016 #KingKiba
Mastaa wa Nigeria nao hawakuwa nyuma. Miongoni mwao ni Davido, D’ija na wengine.
Baada ya kupost picha hiyo, Di’ja aliandika, “ “M.A.M.A ?????? without u there is no me. Everyday is mother’s and Father’s Day.”