Msanii mchanga wa muziki, Ben Swax ameachia wimbo mpya 'Kesha' akiwa amemshirikisha rapper Kala Jeremiah. Audio imeandaliwa na Zest. https://youtu.be/fLLLmLv5xQk