Burudani

Picha: Blac Chyna apozi nusu utupu akiwa na ujauzito wake

Wifi wa familia ya Kardashian, Blac Chyna anayetegemea kupata mtoto wake wa pili na wa kwanza akiwa na Rob Kardashian, amepozi utupo kwenye jarida la Paper.

5-1

Blac Chyna amepiga picha hizo kama alivyowahi kufanya Kim Kardashian. Mrembo huyo aliyezaa pia na rapper Tyga amekuwa miongoni mwa wamama wazuri kwenye jarida hilo (Beautiful People Class of 2016.)

6-1

4

3-1

2-1

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents