Burudani

Emanuel Austin ashinda tuzo Ujerumani

Mwalimu wa dance (choreographer) mtanzania mwenye chuo maarufu nchini Ujerumani, Emanuel Austin amefanikiwa kushinda tuzo za Hip Hop Champion zilizofanyika Glücksburg, Mashariki mwa Ujerumani.

Austin ambaye pia anamiliki lebo ya EMA ENTAREIMENT nchini humo, amefanikiwa kutwaa tuzo hizo kupitia kipengele cha Adult Master Solo Hip Hop. Wakati huo huo mwanafunzi wake Marc Anthony amefanikiwa kushinda tuzo ya Master Battle.

Akiongea na Bongo5, Emanuel amesema amechaguliwa kwenye tuzo nyingine za German championship and Europa.

Na Laila Sued

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents