Michezo

USAJILI: Tetesi za usajili barani ulaya

Tetesi za usajili barani ulaya klabu ya Valencia yaafiki kumpeleka kiungo wake Enzo Perez, katika timu ya River Plate na hatimaye mchezaji Jermain Defoe (34) katua Bournemouth kwa mkataba wa miaka 3.

Mchezaji wa Valencia ,Enzo Perez

-Fabio Borini tayari kawasili AC Milan kukamilisha uhamisho.

Mchezaji mpya wa klabu ya AC Milan, Fabio Borini 

-Aliyekuwa kocha wa Leeds, Simon Grayson sasa ndiye kocha mpya Sunderland.

-Enzo Zidane, mzaliwa wa Zinedine Zidane katua Deportivo Alaves miaka mitatu.

Mchezaji Maya waDeportivo Alaves, Enzo Zidane

-Juventys yathibitisha kuachana na Dani Alves.

-Yadaiwa Pepe ndiye usajili wa kwanza wa PSG.

-imesemekana klab ya Liverpool itaendeleza harakati kumnasa Naby Keita wa RB Leipzig.

-Baada ya kumkosa Ssegnon, Liverpool sasa imetajwa kumgeukia Robertson wa Hull City.

-PSG huenda ikaitibulia chelsea kwa Alex Sandro.

-Man City yadaiwa kurejea tena kwa beko wa monaco, Benjamin Mendy.

6. Majarida na mitandao kadhaa majuu.
-Arsenal yaachana na mpango wa kumfukizia Mbappe  (mail Online)

-Imedaiwa Conte ana hasira na uhamisho wa Lukaku badala ya Belloti  (daily Star)

-Man City yaanza mazungumzo na Kyle Walker. Yadaiwa Stars itahitaji dau lisilopungua Paun mil 50 (the Mirror)

-Morata kawaambia rafik zake naenda Man United  (the express)

-Inter Milan mbioni kumnasa Nainggolan (101 great Goals).

-Yadaiwa Real Madrid bado inamhitaji Hazard  (OK Diario)

-Barcelona ikimkosa Verrati, itajaribu kuwanasa Ander Herrera ama Mahrez. (Sport.es)

-Robin Van Persie huenda akarejea EPL, anatajwa Crystal Palace (Daily Mirror)

7. Tumalize na Povu.
-Baada ya Ureno kuikosa fainali mabara Ronaldo aondoka na kurejea Ureno: nyota huyo pia akatangaza kupata mapacha ambao mama Yao hajawekwa wazi.

-nae Rais wa Bayern asema hawana tena mpango wa kumnasa Alexis Sanchez, asema kwa será Yao wanaweza kusajili kwa euro milion100 kwa kinda wa miaka 21, 22 si mchezaji mwenye miaka 29.

BY HAMZA FUMO

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents