Videos
New Video: Feza Kessy ft Nikki Wa Pili – Kaa Kijanja
Msanii wa Bongo Flava, Feza Kessy ameachia video ya ngoma yake ‘Kaa Kijanja’ ambayo amemshirikisha Nikki Wa Pili, video imeongozwa na Nicklass.
By Peter Akaro