Habari

Tarehe ya uchaguzi wa urais nchini Kenya yasogezwa mbele

Tume ya Uchaguzi nchini Kenya (IEBC) imesogeza mbele tarehe ya uchaguzi wa urais nchini humo kutoka tarehe 17 octoba kama ilivyopangwa awali na kutangaza kuwa uchaguzi huo utafanyika tarehe 26 octoba mwaka huu.

Soma zaidi.

Tarehe ya uchaguzi imesogezwa mbele baada ya malalamiko kutoka upande wa Umoja wa Vyama vya Upinzani (NASA), ukilalamika kutaka mabadiliko zaidi kwenye Tume ya Uchaguzi nchini humo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents