Michezo

Video: Makosa haya yapelekea Wambura kufungiwa maisha na TFF

Makamu wa rais wa Shirikisho la mpira wa miguu nchini (TFF), Michael Wambura amefungiwa na shirikisho hilo kutojihusisha na mchezo wa soka maisha baada ya kuhusishwa na makosa matatu ya kimaadili.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents