Burudani

Steve Nyerere aibuka ‘namjua Peter sitaki kumuongelea Casto, naomba Muna aungane na mumewe kumzika Patrick’ (+video)

Hatimaye Muigizaji wa filamu nchini Tanzania, Steve Nyerere ameibuka na kufunguka kuwa anamuomba Muna kwa sasa aachane na mitandao ya kijamii na a-focus zaidi na namna atakavyomzika mtoto wake Patrick.

Steve Nyerere akizungumzia kuhusu baba halali wa mtoto Patrick, amesema kuwa yeye anamfahamu Peter mume wa ndoa wa Muna Love toka zamaniĀ  na hamfahamu kabisa Casto Dickson.

Pia amemshauri Muna Love kwa sasa aachane na mambo ya mitandao ya kijamii ikibidi aifunge kabisa simu yake kwani na afikirie namna ya kumpumzisha mtoto wao Patrick kwenye nyumba ya milele.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents