Michezo
TFF walilaani Jeshi la Polisi kwa kumpiga mwandishi wa habari, waahidi kuchukua hatua za kisheria
Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini Tanzania (TFF) limedai kuwa limesikitishwa na kitendo cha Jeshi la Polisi jana Agosti 8, 2018 kumpiga Mwandishi wa Habari za michezo akiwa uwanjani kwenye mechi ya kirafiki kati ya Simba dhidi ya Asante Kotoko.
Taarifa ya kulaani tukio hilo imetolewa na Afisa Habari na Mawasiliano wa TFF, Cliford Ndimbo ambaye amesema kuwa watafuatilia kila kitu ili sheria iweze kuchukua mkondo wake.
Safiii
Hakuna jiwe litakalo salia…kila mtu lazima aguswe….!!!
tushukulu mungu ajafa pamoja tuseme aaamin
Wafunguliwe mashtaka mnawachekea chekea