Muziki
Mkongwe Ferouz arudi na ‘Excellent’ wimbo aliyomshirikisha G Nako (+ Audio)
Mkongwe Ferouz arudi na 'Excellent' aliyomshirikisha G Nako (+ Audio)
Msanii wa muziki wa kizazi kipya na akiwa miongoni mwa wachezaji walioiweka Bongo Fleva kwenye ramani Ferouz amerudi kivingine kwa kuachia Audio ya wimbo wake wa Excellent aliyomshirikisha G Nako. Audio hiyo imefanywa na Producer Mocco Genius
By Ally Juma.