Mvua kubwa yapiga Marekani na kusababisha mafuriko katika jiji la kibiashara Washington DC, magari yakwama
Mvua kubwa imeripotiwa kunyesha hapo jana siku ya Jumatatu, katika jiji la Washington DC nchini Marekani na kusababisha mafuriko na kupelekea hadha kubwa kwa watumiaji wa vyombo vya moto na waenda kwa muguu kwenye maeneo kadhaa ya barabara.
Kwa mujibu wa vyombo vya habari vimeripoti kuwa maji yameonekana kujaa kwenye sehemu mbalimbali ya jiji hilo ikiwemo White House jambo ambalo linaelezwa kuwa si lakawaida kutokea.
https://twitter.com/JaeReaves/status/1148244995595493376
Baadhi ya wafanyakazi wa Ikulu ya Marekani (White House) wame ‘tweeted’ picha ambazo zinaonyesha maeneo ambayo maji yameingia.
It’s official: The White House basement is flooding. pic.twitter.com/f1DR6awE89
— Eamon Javers (@EamonJavers) July 8, 2019
Mamlaka za hali ya hewa zinatazamia kuwa mafuriko hayo ni ya historia katika jiji la Washington DC.
https://twitter.com/YidishNiyes/status/1148319682774130689
Mvua hiyo iliyonyesha kwa zaidi ya saa 1, katika jiji hilo la kibiashara inakadiriwa kuwa na ukubwa wa mm 88.
WATCH OUT: Large sinkhole in the roadway… on Belfast Road in Potomac, MD. My friend’s mother drive right up to it.. and stopped several other cars from driving over it. Called police. @WUSA9 pic.twitter.com/CIKrqrPraB
— Annie Yu (@AnnieYuTV) July 8, 2019
PHOTOS: Roads flood across DC region https://t.co/fUjc6DVWGx pic.twitter.com/hrCxMzZURu
— Washington Informer (@DC_Informer) July 8, 2019
Clara Barton Parkway near the beltway, @mcfrs Swift Water Rescue Team (SWRT) crews made several rescues of people from vehicles in the high & moving water, ramps from Beltway CLOSED pic.twitter.com/3zk0V11Zzm
— Pete Piringer (@mcfrsPIO) July 8, 2019
@NBCNews @CBS @ABC @AP Alexandria, VA pic.twitter.com/BHNZRvCKT3
— Francine (@Francin68292125) July 8, 2019
A school bus full of children drives through a flooded Glen Rd. in Montgomery County, MD. @mcpnews @mcfrsPIO pic.twitter.com/bUpdUIWKdI
— Sam Sweeney (@SweeneyABC) July 8, 2019