Burudani
Rapper J93 alia na G Nako ”Natamani kuja kuonana naye, Video yangu imegharimu laki 5” (+Video)
Rapper chipukizi maarufu kama J93 amemmwagia sifa lukuki msanii G Nako kutokana na uwezo wake huku akidai kuwa anatamani siku moja kuonana naye.
J93 ameyasema hayo wakati akitambulisha video yake mpya inayojulikana kama ‘HELLO’